UTAJIFUNZA NINI
Utafahamu namna ya kupata muda wa kuandika kitabu na kukadiria masaa na siku unazohitaji kukamilisha kitabu chako, tena ndani ya ratiba yako yenye mambo mengi bila kuathiri kazi zako nyingine. Utafahamu nini maana ya ISBN na namna ya kuipata na umuhimu wake kwenye kitabu chako.
Utapata mwanga wa sehemu unayoweza kwenda kuchapa kitabu chako kwa haraka na gharama nafuu. Utapata maarifa ya soko na mauzo ya vitabu hususani kwa uzoefu wa Tanzania.
Mwisho, nimekuwekea mambo 12 muhimu yatakayofanya kitabu chako kiwe na mvuto kwa wasomaji wako. Nakualika endelea kusoma sasa kitabu hiki kwa amani.
Peter Mkufya
Peter Mkufya
Mkufunzi na Mhamisishaji Maendeleo
Kweli Program
Whatsaap +255 786 202 202